Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Ndugu / TUMLUMBAGE

Ads
Ndugu / TUMLUMBAGE
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu / TUMLUMBAGE

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Familia ya mzee KIMARIO wa Babati - Manyara wanayofuraha kubwa kukualika/kuwaalika bi,bwn,shekh,ostOn 25 January 2023,SundayVenue : C2303,Hubtown Hillcrest, opp to seepz gate 3, jvlr, Andheri east,MumbaiVERONICAH WANJIKUEkadashi vrat udyapan InvitationVenue : R1,101,B Wing, Alpine tower, Thakur Village, kandivali (e)
Statistics Created today: 10 Created yesterday: 29 Created 7 days: 84 Created 30 days: 428 All ecards: 359254
Copyright by CreateGreetingCards.eu