Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Neema Luhende

Ads
Neema Luhende
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Neema Luhende
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 23/05/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawad Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
On Monday, 17 January 2022Venue : Aishwarya Residency A -Badminton CourtVenue :Flat No 09, Bldg B1, Green Park, BaramatiOn Tuesday, 24th January 2023I Would Like To Invite You To Our HomeOn Friday, 15 November
Statistics Created today: 10 Created yesterday: 52 Created 7 days: 634 Created 30 days: 2404 All ecards: 339875
Copyright by CreateGreetingCards.eu