Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

PCM CLASS OF 2018-2020

Ads
PCM CLASS OF 2018-2020
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
PCM CLASS OF 2018-2020

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Mata Ka Langer at Bawe Wali Mata Temple at 8.00 a.m on 27th March 2022We request your gracious presence at the celebratory dinner post Navchandi havan at our new ventureMonday,12th May, 2025Emerald Clarks Inn SuitesSULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Miss LOY kuwa kijana waoHaldi Kumkum Invitation on occasion of Gauri Pujan
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 13 Created 7 days: 61 Created 30 days: 378 All ecards: 360632
Copyright by CreateGreetingCards.eu