Raely Kivuyo anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Nne(2024)
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Israely Kivuyo wa Arusha Likamba inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Nosim Israely Kivuyo anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Nne(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa Nne.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/04/2024
Kwa Mawasiliano
0743799725
Nosim Israely Kivuyo
Statistics
Created today: 1
Created yesterday: 61
Created 7 days: 887
Created 30 days: 4074
All ecards: 330026
Copyright by CreateGreetingCards.eu