Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

SAMWELI

Ads
SAMWELI
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bib/Bwa YUSUPH HAMISI wa Kondoa-Busi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl
...SAMWELI.....
kuwa kijana wao mpendwa
NURUDIN YUSUPH HAMISI
anatarajia kufunga ndoa na
NAFILI ABDI ISAKA.
Inayotarajiwa kufanyika tarehe 26/19/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 24/10/2024.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :NURUDINI HAMISI 0627117968 AU.
TIGO LIPA NO. 7347648
Similar cards
Inspirations
Sangta ne hath jodey, sees jhukaye neA golden thread to the meaning of lifeMartyna & KamilOn July 29th 2018YOUNG SISTER10.00.a.m onwards
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 11 Created 7 days: 100 Created 30 days: 373 All ecards: 360572
Copyright by CreateGreetingCards.eu