Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

SARAH

Ads
SARAH
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Ngazonia Mlembo inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

....... SARAH........

kuwa kijana wao mpendwa Yonael Ngazonia Mlembo
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 1/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki

No 0758996967 Yonael mlembo
Similar cards
Inspirations
Navchandi Havan - 8:30AM OnwardsOn Wednesday, 26 January 2020From - Priya (07733460819)हल्दी कुंकू साठी अग्रहाचे आमत्रनKuwa vijana wao wapendwa SHABAN HASSAN MAZILA na MARIAM Bint HUSSEIN ABDALLAH wanatarajia kufunga ndAnil Joshua Naidu
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 3 Created 7 days: 68 Created 30 days: 626 All ecards: 358692
Copyright by CreateGreetingCards.eu