"Siachi kutoa shukran kwa ajili yenu, nikiwakumbuka katika sala zangu," (Waefeso 1:16)
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kikao
"Siachi kutoa shukran kwa ajili yenu, nikiwakumbuka katika sala zangu," (Waefeso 1:16)
Familia ya Mwl. JOYCE GIDEON wa Mwanza, kwa heshima na taadhima wanayo furaha kubwa
kukualika/kuwaalika
Bw na Bibi/Bw/Bibi/Dk/Mch/Mh/Eng/Ask
kwenye kikao cha kwanza cha kamati ya maandalizi ya Harusi ya kijana wao mpendwa
Dr. David Mwizarubi Deogratias
Jumapili Aplril 6, 2025 kuanzia saa 9:00 Alasiri.
Ukumbi: MS. HOTEL - Kona ya Bwiru, Mwanza.
Tunatambua umuhimu wako kwetu, wewe ni ndugu na rafiki wa karibu na familia hii, hivyo kufika kwako ndio mafanikio ya maandalizi haya.
"Mungu Akubariki Sana"
Mawasiliano
0767 152 935/0785 914 620/0622 167 809
Statistics
Created today: 6
Created yesterday: 58
Created 7 days: 315
Created 30 days: 1467
All ecards: 352225
Copyright by CreateGreetingCards.eu