Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha DR PANDO kuwa kijana wao

Ads
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha DR PANDO kuwa kijana wao
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
DR PANDO

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Familia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na kTakshMakar Sankranti Haldi Kumkum ceremonyVaibhav Laxmi Udyapan invitation and house warming celebrationOn Friday, 6th December 2024May the vibrancy of the festival fill your life with the colours of joy, success, and prosperity. Ha
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 8 Created 7 days: 47 Created 30 days: 307 All ecards: 359872
Copyright by CreateGreetingCards.eu