Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ BRANDINA kuwa ki

Ads
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ BRANDINA kuwa ki
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/
BRANDINA

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923444
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
On Saturday, 3rd Feb 2024Shree ganeshaya namohFamilia ya marehemu Japhari Omary Shabani wa urusi inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaI would like to invite you to our home to receive Varalakshmi pooja thamboolam and blessingsOn Saturday, 16th February 2024Venue : Utsav Homes 3 Flat no. B3 901, Patil Nagar, Bavdhan, Pune
Statistics Created today: 10 Created yesterday: 8 Created 7 days: 41 Created 30 days: 313 All ecards: 360785
Copyright by CreateGreetingCards.eu