Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ VICKY kuwa kijan

Ads
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ VICKY kuwa kijan
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/
VICKY

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923444
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
On Saturday, 10 February 2020l4Haldi Kumkum Invitation  You are invited for Makar Sankranti Haldi Kumkum  On SundayOn Monday, 24 January 2022Your cordially invited to Ayaan bornahan and Haldi Kumkum ceremony with your Kids ,your presence wilOn Friday, 28th JuneFamilia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na k
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 38 Created 7 days: 218 Created 30 days: 709 All ecards: 358350
Copyright by CreateGreetingCards.eu