Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha NYAHI HM kuwa kijana wao

Ads
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha NYAHI HM kuwa kijana wao
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
NYAHI HM

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Vaibhav Laxmi Udyapan pooja InvitationWe Would Like To Invite You and Your family. On The Occasion Of our 10th Anniversary.By blessings ofOn Monday, 21 January 2024Parojan Invitation (Karan Chedan)Familia ya ZAKAYO BUCHAFWE wa MUSOMA (M) inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaFREDRICK ABNERY MATHUBE
Statistics Created today: 46 Created yesterday: 50 Created 7 days: 878 Created 30 days: 2608 All ecards: 354327
Copyright by CreateGreetingCards.eu