Create a similar
Send a card
Zbieramy na nowe darmowe kartki!
The content of the card
Mchango wa Harusi
Familia ya Emmanuel Nilla Maha wa njiapanda,Maswa mkoani Simiyu wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Mch./bw &bi/Dr./Pro.)Eng./Mhe./bw./bi
TANESCO SINGIDA SOCIAL
..............................................
Kuwa kijana wao mpendwa
ANGELO E. NILLA
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni wa mwezi agosti 2024 wilayani Maswa mkoa wa Simiyu
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : 0652274214
0744301881
Statistics
Created today: 111
Created yesterday: 138
Created 7 days: 725
Created 30 days: 2265
All ecards: 353699
Copyright by CreateGreetingCards.eu