Create a similar
Send a card
The content of the card
Familia ya Bw & Bi Harubu Jabir
wa Morogoro wanayo heshima kukuomba/kuwaomba Bw/Bi/Bw&Bi/Ask./Mch./Prof/Dr.
TEHAMA MBEYA DC
…………………………………………………………
Mchango wa Harusi ya mtoto wao mpendwa
Said Harubu Jabir
anayetarajiwa kuagwa mwezi wa tatu Mkoani morogoro, ukiwa ndugu wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali kwa chochote ulichobarikiwa ili kufanikisha shughuli hii.
Tunaomba mchango wako utufikie
kabla ya 25/03/2024.
Tuma mchango wako kwa
Mpesa – 0764 684254 Said Harubu Jabir
Statistics
Created today: 25
Created yesterday: 74
Created 7 days: 1612
Created 30 days: 3677
All ecards: 329011
Copyright by CreateGreetingCards.eu