Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Th Michael billos anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane (2025)

Ads
Th Michael billos anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane (2025)
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya Michael billos wa Utwari (Babati) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Elizabeth Michael billos anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane (2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane.

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 016/8/2025

Kwa Mawasiliano
0789785152 Elizabeth Billos


Mungu awabariki sana🙏
Similar cards
Inspirations
Goddhana &Ring CeremonyBhanu Prakash & HimasnehaKerwa dam rdWish you very happy married life broKushagra & YashikaPlease join us for engagement party
Statistics Created today: 50 Created yesterday: 47 Created 7 days: 379 Created 30 days: 1501 All ecards: 352211
Copyright by CreateGreetingCards.eu