Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Tutapokea kwa Upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 6

Ads
Tutapokea kwa Upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 6
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
MCHANGO WA SEND OFF

Familia ya Bw na Bibi MESHACK LOTH NDAGILE wa Mbeya Tukuyu
Wanayo furaha Kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Mhe/Dkt/Bw. & Bibi/Prof/Mch
..................................
Kuwa binti yao Mpendwa
DORCAS MESHACK NDAGILE
Anatarajia kuagwa (Send_Off) tarehe 12-6-2025
Hivyo ukiwa kama ndugu, Jamaa, Rafiki au Jirani wa Familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha Sherehe hii muhimu

Tutapokea kwa Upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 6 - 6-2025
Kwa Mawasiliano zaidi
0683496266 Dorcas Meshack
Similar cards
Inspirations
Tutapokea kwa Upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 6Behind every successful man is a woman  who is gettingOn Wednesday, September 25, 2019 at 7 pmMrs. Kalpana & Mr. Hitesh GoswamiWe cordially invite you on the occasion of Prisha’sTime: 6.30 pm to 8:30 pm
Statistics Created today: 9 Created yesterday: 13 Created 7 days: 85 Created 30 days: 346 All ecards: 360461
Copyright by CreateGreetingCards.eu