Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

UFADHILI WA SENDOFF

Ads
UFADHILI WA SENDOFF
Create a similar
Send a card
The content of the card
UFADHILI WA SENDOFF

Familia ya Nicodemus R. Kiloloma wa B/Kasulu(Uvinza) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Bakita N. Kiloloma anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa saba(2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) inayotarajiwa kufanyika tarehe 03/07/2023.

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 29/06/2023

Kwa Mawasiliano
0755027728 Nicodemus Kiloloma Mzazi
0716 990 606 Francis Nombo M/Kiti
Similar cards
Inspirations
Apa Tuhfa HabibPrateek & Yashna30 august 2020Pushkar & NikitaDeepika and RajneeshMrs Saroj Bansal & Mr G D Bansal
Statistics Created today: 17 Created yesterday: 44 Created 7 days: 345 Created 30 days: 1454 All ecards: 352131
Copyright by CreateGreetingCards.eu