Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

UKWATA SENIOR FRIENDS

Ads
UKWATA SENIOR FRIENDS
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
UKWATA SENIOR FRIENDS

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Venue : JR1 Type II RNo.2, MSEB Koyana ColonyVAIBHAV LAXMI VRAT UDYAPANVenue : 725 Al Bafta GrandWe cordially invite you to join us for Haldi Kunku ceremony onFamilia ya Zakayo Buchafwe Magesa inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaOn Friday , 20th January 2023
Statistics Created today: 54 Created yesterday: 55 Created 7 days: 437 Created 30 days: 2386 All ecards: 356536
Copyright by CreateGreetingCards.eu