Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Uwajulisha

Ads
Uwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango wa Harusi

Familia ya Marehemu Emmanuel Nilla Maha wa njiapanda,Maswa mkoani Simiyu wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Mch./bw &bi/Dr./Pro.)Eng./Mhe./bw./bi

TANESCO DODOMA MANAGEMENT
.............................................

Kuwa kijana wao mpendwa
ANGELO E. NILLA
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni wa mwezi agosti 2024

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.


Mawasiliano : 0652274214
0744301881
Similar cards
Inspirations
Kuwa kijana wao mpendwaSingla family cordially invite youYou are all cordially invited for Lalitha Sahasranama parayana and Aarishina Kumkuma in our house beVenue : Flat no-601, 1st floor, ShindeC-401 Skylights SocietyTunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajil
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 3 Created 7 days: 56 Created 30 days: 264 All ecards: 361031
Copyright by CreateGreetingCards.eu