Wa Mbezi - Dar es Salaam wanayo heshima kukuomba/kuwaomba Bw/Bi/Bw&Bi/Ask./Mch./Prof/Dr
Create a similar
Send a card
The content of the card
Familia ya Bw & Bi Lameck Maganga
wa Mbezi - Dar es Salaam wanayo heshima kukuomba/kuwaomba Bw/Bi/Bw&Bi/Ask./Mch./Prof/Dr.
Willeciana
…………………………………………………………
Mchango wa Sendoff ya mdogo wao mpendwa
Maryciana M. Lutego
anayetarajiwa kuagwa mwezi wa sita hapa Dar es Salaam, ukiwa ndugu wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii.
Tunaomba mchango wako utufikie
kabla ya 15/06/2024.
Tuma mchango wako kwa
Mpesa – 0756 008063 Willeciana Bitullo
Tigopesa – 0713 832399 Maryciana Lutego
Statistics
Created today: 142
Created yesterday: 113
Created 7 days: 1021
Created 30 days: 4812
All ecards: 308031
Copyright by CreateGreetingCards.eu