Wa Mbweni Teta, Dar wa salaam
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana na Bibi
AMANI BAHEBURA
na
SALEHE KILUWA
wa Mbweni Teta, Dar wa salaam
Wanayo furaha kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwamba vijana wao mpendwa
Isaka Amani & Sarah Kiluwa
Wanatarajia kufunga ndoa
Mwezi Nane tarehe 17/08/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu
na familia hii unaombwa mchango wako wa
hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Wasilisha Mchango wako kabla ya
tarehe 10/08/2024.
Namba ya kuchangia:-
Sarah Salehe Kiluwa - 0621 402497
Isaka Amani Saimoni - 0693 463584
Mungu Mwenyezi akubariki.
Statistics
Created today: 71
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1772
Created 30 days: 3721
All ecards: 328910
Copyright by CreateGreetingCards.eu