Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Wenslaus Minzi

Ads
Wenslaus Minzi
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Wenslaus Minzi
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawadi Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
On Friday, 20-June-2025Followed by Prasadam and SnacksNdugu/ HOSEAFamilia ya Bw. Charles Joseph wa Kachwamba Chato inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaSULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha PA NAOMI kuwa kijana waoOn Wednesday, 18 January 2023
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 63 Created 7 days: 518 Created 30 days: 1683 All ecards: 352805
Copyright by CreateGreetingCards.eu