Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

A tunayo furaha kukualika/kuwaaalika

Ads
A tunayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MWALIKO WA KIKAO CHA USIKU WA ZAWADI

Familia ya Bw&Bi ANGELUS KOMBA wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na Familia ya Bw&Bi CATHERINE SELEMA tunayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha Usiku wa Zawadi cha binti yao mpendwa DAULA KOMBA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakachofanyika Jambo Bar-Jet lumo tarehe 20/07/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa Moyo wa Ukunjufu (2 Wakorintho 9:7).
Kufika kwako ndio mafanikio ya sherehe ya binti yetu mpendwa
Kwa Mawasiliano
DAULA KOMBA - 0763-325-453
CATHERINE SELEMA - 0748-094-575
HAPPINESS SELEMA - 0686-377-634
EDMUND SHAYO - 0743-299-652
Similar cards
Inspirations
On Friday,9th Feb 2024SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha PC CECY kuwa kijana waoLet us celebrate SankrantiVenue : B PART,B-108,Janranjani,Nanded City,PuneI Would Like To Invite You To Our Home On The Occasion Of Vaibhav Lakshmi Udyapan puja & prasadOn the occassion of Varalakshmi vratham
Statistics Created today: 37 Created yesterday: 69 Created 7 days: 502 Created 30 days: 2825 All ecards: 356136
Copyright by CreateGreetingCards.eu