Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane

Ads
Anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Karoli Shitundu na Fedister Mwakikao wa Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa DONANCIANO JOSEPH
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwa-sukwa hata kumwagika,...

Mawasiliano : Donanciano Joseph 0686 656 439
Karoli Shitundu 0756 854 336
Fedister Mwakikao o714 296 390
Similar cards
Inspirations
GET - TOGETHEROn Wednesday, December 12, 2018Mrs Saroj Yadav & Sujeet KumarHappiest to announce our engagement onOn 8th Nov,2020, SundayDate:- 15/11/2023
Statistics Created today: 9 Created yesterday: 81 Created 7 days: 447 Created 30 days: 2734 All ecards: 356317
Copyright by CreateGreetingCards.eu