Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja

Ads
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Dr.GELARD ELIAS MDUSHI wa kISEWE/TEMEKE/DAR ES SALAAM inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa MDUSHI GELARD
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.

Mawasiliano : jane manyilizu 0715677391
Gelard mdushi 0783191460
Mdushi Gelard 0718321579
Similar cards
Inspirations
Anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mojaMore Information Please Contact Asif Hussain 773-310-3020When I first saw you, you took my breath awayMindenkinek a jó kívánságokatZ życia samych przyjemności
Statistics Created today: 161 Created yesterday: 72 Created 7 days: 570 Created 30 days: 3007 All ecards: 355636
Copyright by CreateGreetingCards.eu