Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

CHANGO WA HARUSI

Ads
CHANGO WA HARUSI
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
CHANGO WA HARUSI
Familia ya Daniel mlimka ndoje wanapenda kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Johnson Daniel mlimka (MKAPA)
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tatu
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/03/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubariki kwa mchango wako

Mawasiliano : Johnson Daniel 0710101663,.
Similar cards
Inspirations
.Ceremony: 11th May 2025, Sunday, 7:00 pmTime: 6.45pm onwardsPreetibhoj - 12NoonFamilia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba Inayo furaha kukujulishaOn Today, 26 January 2023
Statistics Created today: 4 Created yesterday: 11 Created 7 days: 63 Created 30 days: 419 All ecards: 359199
Copyright by CreateGreetingCards.eu