Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

DR.MARK KISHE

Ads
DR.MARK KISHE
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Dr.Gelard Elias Mdushi wa Kisewe/Temeke/Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.......DR.MARK KISHE..........
kuwa kijana wao mpendwa Mdushi Gelard
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako kuanzia Double shilingi 100,000 na single kwa shilingi elfu 50,000 wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.

Mawasiliano:Mdushi Gelard 0718321579
Similar cards
Inspirations
Time: 6.30pm to 7.30 pm onwardsOn Thursday, 23rd December 2022"This Haldi Kunku, may your life shine as bright as the turmeric and your blessings be as red as theOn Thursday, 18th December 2022ParthFamilia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba Inayo furaha kukujulisha/ kuwajulisha
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 9 Created 7 days: 54 Created 30 days: 258 All ecards: 360828
Copyright by CreateGreetingCards.eu