W aplikacji banku wybierz: BLIK → Przelew na telefon i wklej numer.
The content of the card
Familia ya Bi. VERONICA RUHETA pamoja na Familia ya Mwl. KAROLI RUVUGO wa kasulu mjini wanatarajia kufanya sherehe ya sendoff ya binti yao mpendwa MARY CAROLI RUVUGO Tarehe 5/9/2025
ukiwa kama ndugu, rafiki unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha sherehe hii
Mwish wa mchango ni tarehe 31/8/2025
AHSANTE NA MUNGU AKUBARIKI