Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bwana na Bibi Gidio Shinyambala wa Mbezi Makabe wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bwana na Bibi Gidio Shinyambala wa Mbezi Makabe wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana na Bibi Gidio Shinyambala wa Mbezi Makabe wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Agapit Gidio Shinyambala
anatarajia kufunga ndoa tarehe 26/08/2023.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/08/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.

Mawasiliano :
Rogers Shinyambala 0699520017/0769722665
Similar cards
Inspirations
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali kufaVenue : A5, 207, Xrbia TownshipOn Thursday, 22 January 2024Venue :prasad residencyCordially invite you to our homeOn Thursday ,19 January 2023
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 13 Created 7 days: 68 Created 30 days: 234 All ecards: 360942
Copyright by CreateGreetingCards.eu