Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Bwana RASHIDI ALLY LIBAGO inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Bwana RASHIDI ALLY LIBAGO inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana RASHIDI ALLY LIBAGO inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa JIHADI RASHIDI LIBAGO
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa saba 2025.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/05/2025 kupitia namba za malipo zilizopo apo chini
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : M-PESA 0769302244
AIRTEL MONEY 0687536389
JIHADI RASHIDI LIBAGO
Similar cards
Inspirations
UFAZILI/MCHANGO WA HARUSIKuwa kijana wao DEOGRATIUS LWEKAMWA anatarajia kufunga ndoa takatifu mnamo tar 27/12/2025We cordially invite you to celebrate Makar Sankranti Haldi KumkumVenue: C wing 4th floorVenue : villa 55A, SunShine Park Annexure10 February 2024 Time
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 17 Created 7 days: 73 Created 30 days: 374 All ecards: 360668
Copyright by CreateGreetingCards.eu