Familia ya Dr.Ngassa Kiyenze wa UYUI-TABORA inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Kadi ya Mchango Wa Send-Off
Familia ya Dr.Ngassa Kiyenze wa UYUI-TABORA inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa binti yao mpendwa ESTHER N KIYENZE
anatarajia kufanyiwa sherehe ya kuagwa mwishoni mwa mwezi wa Sita.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango
wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/05/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii.
Mchango ni ;
Double:70,000/=
Single:40,000/=
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Statistics
Created today: 86
Created yesterday: 152
Created 7 days: 641
Created 30 days: 2395
All ecards: 327111
Copyright by CreateGreetingCards.eu