Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Shaban Hassan Mazila
anatarajia kufunga ndoa na Mariam bint Hussen Abdallah mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :
0621 076314
0658921812
Similar cards
Inspirations
Venue : Shiv Kunj, Mangirish Colony, Ameni, Madel, TivimOn Sunday, 15th Janaury 2023Time: 3pm to 4pmAadya and Aadyant’s Bornahan and Haldi Kumkum InvitationYou are cordially invited to take Tambulam on the occasion of Varalakshmi VrathamFamilia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 8 Created 7 days: 65 Created 30 days: 241 All ecards: 360979
Copyright by CreateGreetingCards.eu