Familia ya Joseph Aloyce wa Kagera inayofuraha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Joseph Aloyce wa Kagera inayofuraha
kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Nimrod Josefu
anatarajia kufunga ndoa Takatifu
Tarehe 16/06/2024
Ukiwa kama ndugu,jamaa n a rafiki wa karibu
na familia hii unaombwa mchango wako wa hali
na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla
ya tarehe 30/05/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
MOLA AKULIPE HERI
Mawasiliano :ELIUM KIBONA 0652610199
NIMROD JOSEPH 0620670604
HURUMA RUHUHA 0684150414
Statistics
Created today: 8
Created yesterday: 74
Created 7 days: 1595
Created 30 days: 3660
All ecards: 328994
Copyright by CreateGreetingCards.eu