Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mwl.Juma Girimo wa Njoro kiteto inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mwl.Juma Girimo wa Njoro kiteto inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mwl.Juma Girimo wa Njoro kiteto inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Abubakari Juma Girimo
anatarajia kufunga ndoa katikati ya mwezi wa kumi 2025
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/09/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mama 0787048690
Abubakari Juma 0676168910
Similar cards
Inspirations
We are delighted to invite you to celebrate Haldi Kumkum ceremony on occasion of Makar Sankranti onItLalitha Sahasranama Stotram Parayanam and Haldi Kumkum Invitation (Ladies Only)On Saturday, 30th July 2022Pratap Nagar Gali no 10SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ PRIVA kuwa kijan
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 6 Created 7 days: 74 Created 30 days: 333 All ecards: 359850
Copyright by CreateGreetingCards.eu