Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba inayo furaha kukualika/kuwaaalika

Ads
Familia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha harusi
Familia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng


.............................................
kwenye kika harusi ya kijana wao mpendwa Deogratius Lwekamwa.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika nyumbani kwa Ndg Plasid Lwekamwa 30/09/2023 saa 10:00 jioni

Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.

Kufika kwako ndio mafanikio ya send off ya binti yetu mpendwa

Mawasiliano : Ndg Plasid Lwekamwa +255685880687
: Mama Iline: 078-712-7596
Similar cards
Inspirations
Flat No A-506, Venice SocietyFrom - Anjana & Uma SalgaonkarOn Saturday, 16th February 2024No one has a golden heart like youOn Friday, 27th October 2025
Statistics Created today: 18 Created yesterday: 58 Created 7 days: 327 Created 30 days: 1479 All ecards: 352237
Copyright by CreateGreetingCards.eu