Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Prof. Donald Mpanduji wa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Prof. Donald Mpanduji wa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Prof. Donald Mpanduji wa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Fredrick Donald Mpanduji
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita mwaka 2025.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 29/05/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akulipe kheri

Mawasiliano : Fredrick Donald 0658 469274
Teddy mkama 0655 687888
Prof Mpanduji 0787 487929
Similar cards
Inspirations
Om Shree Gurubyo Namaha! Om Shree Guru Vidyamba Saraswati Shree Padhugae Poojayame Namaha!!🙏Venue : 1101, Bhondve towerOn Tuesday, 22rd Jan 2024Haldi Kumkum and VedanshVenue : 703-Anand VikasOn Friday , 26th September 2025
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 12 Created 7 days: 46 Created 30 days: 282 All ecards: 360792
Copyright by CreateGreetingCards.eu