Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Rev.Amos B.Ngonyani wa Namtumbo Bomani(Ruvuma)inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpe

Ads
Familia ya Rev.Amos B.Ngonyani wa Namtumbo Bomani(Ruvuma)inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpe
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya Rev.Amos B.Ngonyani wa Namtumbo Bomani(Ruvuma)inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Miriam Amos Ngonyani anatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) inayotarajiwa kufanyika mwezi wa kumi tarehe 12.

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 05/10/2024

Kwa Mawasiliano
0628 186 142 Miriam Amos
0754 228 114 Ayubu Amos

MIRIAM AMOS NGONYANI.
Similar cards
Inspirations
New beginging ... New life|| Shree||Saturday, March 16th, 2019Of your love keeps spreading with time. Please join us for our Engagement Ceremony on 2nd of July atFamilia ya Rev.Amos B.Ngonyani wa Namtumbo Bomani(Ruvuma)inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpeAbdul Khader K & Sabira VK
Statistics Created today: 14 Created yesterday: 15 Created 7 days: 73 Created 30 days: 267 All ecards: 361019
Copyright by CreateGreetingCards.eu