Familia ya Zainab Athman wa Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Zainab Athman wa Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
.............................................
kuwa Binti yao mpendwa Saida Mangush
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi Desemba 2024
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Mawasiliano : Mama Nabil:-0713387644
Mama Amal:- 0653955664
Saida:- 0765285663
Statistics
Created today: 17
Created yesterday: 70
Created 7 days: 1536
Created 30 days: 3658
All ecards: 329073
Copyright by CreateGreetingCards.eu