Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya ZAKAYO BUCHAFWE wa MUSOMA (M) inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya ZAKAYO BUCHAFWE wa MUSOMA (M) inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya ZAKAYO BUCHAFWE wa MUSOMA (M) inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa DAVID SILO
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa FEBRUARY 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa 40,000d/30,0000s, ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2026 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU AKUBARIKI:

Mawasiliano : 0620832081
AMON BUCHAFWE
Similar cards
Inspirations
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ MWASIMBA kuwa kiVenue : Flat no 4Vaibhav Lakshmi Puja InvitationOn Friday, 17th-MayVenue : C 301 JasmineOn Thursday, 27 January 2022
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 12 Created 7 days: 193 Created 30 days: 677 All ecards: 358423
Copyright by CreateGreetingCards.eu