Create a similar
Send a card
Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Zakayo Buchafwe Magesa wa musoma (M) inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
....IMAN FREDDY HARUN BWATWA.......
kuwa kijana wao mpendwa Daud Silo
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa pili 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali (40,000db)/(30,000s)ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2026 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu Akubariki.
Mawasiliano : Amon Buchafwe
0620832081.
Statistics
Created today: 6
Created yesterday: 77
Created 7 days: 867
Created 30 days: 2607
All ecards: 354237
Copyright by CreateGreetingCards.eu