Kadi ya Mchango wa Send-Off
Create a similar
Send a card
Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!
The content of the card
Kadi ya Mchango wa Send-Off
Familia ya Bw&Bi Ngassa Kiyenze wa Uyui-Tabora wanatarajia kufanya sherehe ya kumuaga (Send off) binti yao mpendwa
ESTHER KIYENZE itakayofanyikia mwishoni mwa mwezi Juni.
Hivyo kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu,tunapenda kuomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha sherehe hiyo.
Mwisho wa kutoa mchango ni tarehe 30/05/2023
Statistics
Created today: 17
Created yesterday: 33
Created 7 days: 193
Created 30 days: 1671
All ecards: 356926
Copyright by CreateGreetingCards.eu