Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kamati ya Maandalizi ya Harusi ya Mwalimu Peter Funuku wa Tanga Mjini inayo furaha kukujulisha/kuwaj

Ads
Kamati ya Maandalizi ya Harusi ya Mwalimu Peter Funuku wa Tanga Mjini inayo furaha kukujulisha/kuwaj
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Kamati ya Maandalizi ya Harusi ya Mwalimu Peter Funuku wa Tanga Mjini inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Ndg

.............................................
kuwa Mwalimu Peter Funuku
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa 12.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali Single 30000/= Double 50000/= ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu anafurahi tunapotoa kwa Moyo.

Mawasiliano : Mwenyekiti 0753 013 177
Katibu 0713 071 211
Similar cards
Inspirations
Sardarni Roop KaurHis prayer is kept to save mankind on the day when all human deeds of worship are weighed one by oneOn Wednesday, 30th January 20241203, Kripa HeightsNavchandi Havan - 8:30AM OnwardsSri shivhari garg amd smt krishna devi cordially invite you
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 4 Created 7 days: 55 Created 30 days: 320 All ecards: 359492
Copyright by CreateGreetingCards.eu