Kuwa Binti yao mpendwa BELINA JOSEPH
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya TRESPHORY JOSEPH inayoishi Muleba, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa Binti yao mpendwa BELINA JOSEPH
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/04/2024kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : BELINA JOSEPH 0658983875 au
0748583875
Statistics
Created today: 4
Created yesterday: 713
Created 7 days: 1607
Created 30 days: 3487
All ecards: 328631
Copyright by CreateGreetingCards.eu