Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa kijana wao mpendwa SHABAN HASSAN MAZILA

Ads
Kuwa kijana wao mpendwa SHABAN HASSAN MAZILA
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya HASSAN MAZILA wa Kilindi, Tanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa SHABAN HASSAN MAZILA
anatarajia kufunga ndoa na MARIAM Bint HUSSEIN ABDALLAH mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :
0621 076314
0658921812
Similar cards
Inspirations
Venue : A2-1202, Integrated Kamal,Hira Nagar, Mulund WestVenue : near D wing KoynaOn Friday, 04 October 2024Venue : Super D 1/3, B.T.P.S. Colony, DeepnagarOn Friday, 04th Oct 2024On Friday, 27th December
Statistics Created today: 9 Created yesterday: 13 Created 7 days: 85 Created 30 days: 346 All ecards: 360461
Copyright by CreateGreetingCards.eu