Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Wanayo furaha kubwa kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Wanayo furaha kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana na Bibi
AMANI BAHEBURA
na
SALEHE KILUWA
wa Mbweni Teta, Dar es salaam
Wanayo furaha kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwamba vijana wao mpendwa
Isaka Amani & Sarah Kiluwa
Wanatarajia kufunga ndoa
Mwezi Nane tarehe 17/08/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu
na familia hii unaombwa mchango wako wa
hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Wasilisha Mchango wako kabla ya
tarehe 10/08/2024.

Namba ya kuchangia:-
Sarah Salehe Kiluwa - 0621 402497
Isaka Amani Saimoni - 0693 463584

Mungu Mwenyezi akubariki.
Similar cards
Inspirations
Venue : Building No 17 Stalag CHS, B Wing -1001Invite you on hifaz ceremony of their beloved childrenKamati ya Maandalizi ya Harusi ya Mwalimu Peter Funuku wa Tanga Mjini inayo furaha kukujulisha/kuwajRajveer’s Bornhan & Haldi Kumkum InvitationOn Friday, 23th January 2022Venue : A7-701
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 10 Created 7 days: 73 Created 30 days: 238 All ecards: 360932
Copyright by CreateGreetingCards.eu