Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kwenye kikao cha shughuli ya binti wao mpendwa JAMIMA ABDUL

Ads
Kwenye kikao cha shughuli ya binti wao mpendwa JAMIMA ABDUL
Create a similar
Send a card
The content of the card
MWALIKO WA KIKAO

Familia ya Sophia Almasi wa Makumbusho-Dar es Salaam inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha shughuli ya binti wao mpendwa JAMIMA ABDUL.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Magomeni Kanisani tarehe 23/06/2024 saa 9:00 Mchana.

Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli ya binti yetu mpendwa

Mawasiliano
Sophia Almasi 0785515756
0715006561
Similar cards
Inspirations
DOBRO POWRACA Z PODWOJONĄ SIŁAKochany TatoD laughter❤💞ISAKA AMANI SAIMONISemoga Allah swt melimpahkan perlindungan setiap langkahmu, kurniakan kebahagian dan afiya duniawi dLittle Princess Shanvi
Statistics Created today: 58 Created yesterday: 88 Created 7 days: 457 Created 30 days: 2256 All ecards: 337871
Copyright by CreateGreetingCards.eu