Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

MAX I. PALLANGYO

Ads
MAX I. PALLANGYO
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya ISMAELY PALLANGYO wa Ngulelo Arusha wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
MAX I. PALLANGYO
anatarajia kufunga ndoa na
EUSEBIA B. MASSAWE mnano mwa mwezi December 2023 katika kanisa Katoliki Mt. Fransisko wa Asizi kwa Ngulelo Arusha. Hivyo kama ndugu, rafiki, jamaa wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali ma nali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tunaomba ukabidhi mchango wakp kwa aliekupa kadi.

Tunatanguliza shukrani zetu za dhati 2Wakorintho 9:7
Similar cards
Inspirations
Rabia & ShayaanContact – 9579791608Familia ya bw&bib Mohamed mtumbi wa Genge muheza wanayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa ZWedding Occasion of our Sweet daughterMy DaughterSangeeta & Rohit
Statistics Created today: 9 Created yesterday: 7 Created 7 days: 85 Created 30 days: 343 All ecards: 359348
Copyright by CreateGreetingCards.eu