Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Michael...Malonza

Ads
Michael...Malonza
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Issa inayo furaha na kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

..........Michael...Malonza........................
kuwa bint yao mpendwa Shadya Issa
anatarajia kufunga ndoa mwanzo mwa mwezi wa nane
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/07/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Similar cards
Inspirations
Tulsi Vivah    10.00 AMOn Thursday, 25th September 2025Varalakshmi pooja invitationHaldi Kumkum Invitation  On MondayVaibhav Laxmi, Haldi KumkumTunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajil
Statistics Created today: 10 Created yesterday: 13 Created 7 days: 48 Created 30 days: 263 All ecards: 360146
Copyright by CreateGreetingCards.eu