Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

MR & MRS MUSIBA

Ads
MR & MRS MUSIBA
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya ZAKAYO BUCHAFWE wa MUSOMA (M) inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

MR & MRS MUSIBA
kuwa kijana wao mpendwa DAVID SILO
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa FEBRUARY 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa 40,000d/30,0000s, ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2026 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU AKUBARIKI:

Mawasiliano : 0620832081
AMON BUCHAFWE
Similar cards
Inspirations
Venue: 7, Becket houseTIME:- Morning 06:00 A.MFamilia ya Ndg PLACID LWEKAMWA wa MALUKU BUKOBA inayo furaha kukutaarifu/kuwataarifuFrom - Prajakta JadhavFrom - Sumati BawaneVenue : C-10 Tigris Chs Ltd
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 9 Created 7 days: 78 Created 30 days: 366 All ecards: 360702
Copyright by CreateGreetingCards.eu