Mwaliko wa kikao Usiku wa Zawadi
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao Usiku wa Zawadi
Familia ya Bw&Bi Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao cha usiku wa zawazi kwa binti yao mpendwa Daula Komba
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Jambo Bar-jet lumo tarehe 20/07/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya sherehe ya binti yetu mpendwa
Mawasiliano : Daula Komba
Yas -0676325453
Voda- 0763325453
Statistics
Created today: 39
Created yesterday: 70
Created 7 days: 375
Created 30 days: 1481
All ecards: 352109
Copyright by CreateGreetingCards.eu