Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwalimu Anastasia James Sichali

Ads
Mwalimu Anastasia James Sichali
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango wa Harusi

Familia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifu
Mwalimu Anastasia James Sichali.
Kuwa tunaomba mchango wako wa hali na mali kwa ajili maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule anayetarajia kufunga ndoa na Octavina Mayemba. Tarehe 11/10/2025 siku ya jumamosi

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako ili kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mchango ni kuanzia.
Single 25,000
Dauble 50,000
Mwisho wa mchango ni tarehe 4/10/2025.
Mkabidhi mchango kwa aliyekupa kadi hii.

Mawasiliano : +255617465009 au +255620653192
Similar cards
Inspirations
Familia ya MR & MRS SAHANI wa BUZA DAR ES SALAAM inayo furaha kukutaarifuSo I cordially invite you and your family to celebrate the wedding reception of my sisterGOLD DHANA CEREMONY INVITATION6:30 p.m onwardsOn February 21st 2020 09:00 AMR Son 
 
 Rajiv
 
 with 
 
 Manasi 
 
 
 On June 15th 2018 at 
 Followed by 
 
 
 Venue 
 
 
 R
Statistics Created today: 7 Created yesterday: 11 Created 7 days: 62 Created 30 days: 268 All ecards: 360105
Copyright by CreateGreetingCards.eu